Rais wa Jamhuri ya Mungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiongea na wananchi mara baada ya kuwasili katikati ya jiji la Mwanza akitokea wilayani Sengerema Jumatano Agosti 10, 2016
Rais wa Jamhuri ya Mungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza kwa furaha na mamia ya wananchi eneo la  Nyegezi stand jijini Mwanza wakati akitokea Wilayani Sengerema.


Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 1 mpaka sasa

  1. MKUU WA NCHI NAPENDA SANA MANENO YAKO YA KUJARI WANYONGE, KWANI ONGOZA KUTOKEA NYUMA NA KUWAFANYA WENGINE WAAMINI WAO NDIYO WAKO MBELE.
    DR JAMESY

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...