Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimuapisha Mrisho Gambo kuwa Mkuu wa Mkoa wa Arusha Ikulu jijini Dar es Salaam.
 Rais Dkt. John Pombe Magufuli akiwa katika picha na Makamu wa Rais Samia Suluhu Hassan, Waziri Mkuu Kassim Majaliwa pamoja na Mkuu mpya wa Mkoa wa Arusha Mrisho Gambo mara baada ya tukio la Kiapo Ikulu jijini Dar es Salaam. Wengine katika picha ni Katibu Mkuu Kiongozi Balozi John Kijazi wa kwanza (kulia) na Naibu Waziri, Ofisi ya Rais Tawala za mikoa  na Serikali za Mitaa TAMISEMI Selemani Jafo wa kwanza (kushoto).
 Makamu wa Rais Samia Suluhu Hassan akimpongeza Mkuu wa Mkoa wa Arusha Mrisho Gambo mara baada ya kuapishwa Ikulu jijini Dar es Salaam.
Picha na IKULU. KWA PICHA ZAIDI OFYA HAPA.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 3 mpaka sasa

  1. Tunaomba Ikulu washauriwe Mhe Rais anapopiga picha wale wapambe kule nyuma wasiwepo. Duniani kote hiyo ndiyo protokali isipokuwa Magogoni na Chamwino!

    ReplyDelete
    Replies
    1. Ushauri mzuri,ila hakuna madhara yoyote kwa watanzania kuwa na utaratibu wetu wenyewe. Thanks but no thanks mdau

      Delete
  2. Annony na 1 you are right. But if you thought all Tanzanians are a people that can teke advise kindly, think again. Annony no 2 is typical of the imprudence, stubbornness and sheer obstinacy of some of our people. I would not be surprised if annony number 2 is not in government. They are unwilling to learn anything new even when admittedly they see the better side of an view or perspective being presented. Theirs is "ujuzi hauzeeeki." You can't beat such fools. The advise I would offer is don't argue with them. Remember the adage; Don't argue with a fool, people might not notice the difference!

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...