THIS BLOG IS PROUDLY SPONSORED BY VODACOM, TANZANIA'S LEADING CELLULAR NETWORK. | CRDB BANK - THE BANK THAT LISTENS | NATIONAL BANK OF COMMERCE (NBC)- CONVENIENTLY EVERYWHERE | NATIONAL SOCIAL SECURITY FUND (NSSF) | PUBLIC SERVISE PENSIONS FUND (PSPF). ' Karibu katika hii Globu ya jamii. Una karibishwa kutoa maoni yako yoyote yatakayo jenga taifa letu. Nawasihi kila mmoja wetu ajiheshimu kwa kutumia lugha zisizochafua hali ya hewa. Yaliyomo humu hayahusiani kwa vyovyote vile na hariri za magazeti ya Daily News, HabariLeo na Sunday News. Maoni yanayotolewa na wasomaji si ya GLOBU YA JAMII, ni ya mtoa maoni isipokuwa pale itavyoelezwa vinginevyo. Akhsanteni sana na tuendeleze Libeneke.

Gadget

This content isn't available over encrypted connections yet.

MWENYEKITI MPYA WA CCM RAIS DKT MAGUFULI APOKELEWA DAR ES SALAAM KWA NDEREMO NA VIFIJO

Mwenyekiti wa CCM na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Joseph Magufuli akipungia wakati alipowasili kwenye Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa J.K. Nyerere, Jijini Dar es salaam kabla ya kwenda kuwahutubia wana-CCM wa Dar es salaam baada ya Ofisi Ndogo za CCM mtaa wa Lumbumba leo agosti 12, 2016.
Mwenyekiti wa CCM na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Joseph Magufuli akilakiwa na viongozi mbalimbali wa Mkoa wa Dar es salaam.
Mwenyekiti wa CCM na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Joseph Magufuli akifurahia burudani za aina mbalimbali wakati alipowasili Jijini Dar es salaam leo, akitokea Jijini Mwanza.
Mwenyekiti wa CCM na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Joseph Magufuli akipiga ngoma kutoka kwa moja ya vikundi vilivyokuwepo uwanjani hapo.


Hoja moja imeshachangiwa mpaka sasa.

  1. Anonymous Anasema:

    Hongera kwa kazi nzuri. Mimi ninaswali, ni lini barabara ya Africana inayotokea Morocco inawekewa taa za kumulika usiku. Sehemu ni nzuri kuna watu wengi lakini tatizo ni giza usiku. Vile vile ni vizuri barabara ya Morocco Tegeta nayo ikawekewa taa za kuwaka usiku ili mambo yaende sawa. Tunaomba wanao husika na kuweka taa barabarani washughulikia barabara hizi mbili. Ikiwezeakan na hata ile ya kupitia ununio mpaka boko nayo iwekwe taa. Jiji litapendeza na watu wenye fedha na mitaji watapenda kuja kuwekeza Tanzania na kuishi Tanzania. Tulipende jiji letu, tuipende nchi yetu.