Waziri wa Maliasili na Utalii, Profesa Jumanne Maghembe(katikati) akizindua ripoti ya matokeo ya utafiti pamoja na mapendekezo ya kuboresha utawala wa misitu nchini Tanzania, Wa kwanza kulia ni Mwakilishi wa Bodi ya Jumuiko la Maliasili Tanzania( TNRF), Charles Meshack na kulia ni Msaidizi wa Balozi wa Finland nchini Tanzania, Simo-Pekka Parviainen
Msaidizi wa Balozi wa Finland nchini Tanzania, Simo-Pekka Parviainen akizungumza jambo wakati wakuzindua ripoti ya uvunaji wa misitu pamoja na kujadili ripoti hiyo.
Picha ya Pamoja.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...