THIS BLOG IS PROUDLY SPONSORED BY VODACOM, TANZANIA'S LEADING CELLULAR NETWORK. | CRDB BANK - THE BANK THAT LISTENS | NATIONAL BANK OF COMMERCE (NBC)- CONVENIENTLY EVERYWHERE | NATIONAL SOCIAL SECURITY FUND (NSSF) | PUBLIC SERVISE PENSIONS FUND (PSPF). ' Karibu katika hii Globu ya jamii. Una karibishwa kutoa maoni yako yoyote yatakayo jenga taifa letu. Nawasihi kila mmoja wetu ajiheshimu kwa kutumia lugha zisizochafua hali ya hewa. Yaliyomo humu hayahusiani kwa vyovyote vile na hariri za magazeti ya Daily News, HabariLeo na Sunday News. Maoni yanayotolewa na wasomaji si ya GLOBU YA JAMII, ni ya mtoa maoni isipokuwa pale itavyoelezwa vinginevyo. Akhsanteni sana na tuendeleze Libeneke.

Gadget

This content isn't available over encrypted connections yet.

SALIM KIKEKE NDIO MTANZANIA WA KWANZA KUSOMA HABARI KATIKA TELEVISHENI YA KIMATAIFA KWA LUGHA MBILI (KIIGEREZA NA KISWAHILI)

Salim Kikeke anakuwa mtangazaji wa kwanza kutoka Tanzania kusoma habari (News anchor) katika Televisheni ya kimataifa, na kwa lugha mbili- Kiingereza na Kiswahili - bilingual presenter. BBC Focus on Africa na BBC Dira ya Dunia ya BBC Swahili TV.


Kuna Maoni 2 mpaka sasa.

  1. fred j m Anasema:

    Safiii sana BWANA KIKEKE ..NADHANI SIRI NI KUWA MAKINI,KUJITUMA KATIKA KAZI, KUSOMA NA KUFANYA TAFITI ILI KUWA NA ABCs ya almost kila kitu..ikifika wakati wa kukitangaza unakuwa mbele zaidi ..mwanahabari lazima uwe na upeo wa juu wa mambo mengi sana zaidi ya kusoma habari tu kama wafanyavyo walio wengi ....nilishangaa na kufurahi baada ya kusikia mtangazaji wa mashindano ya riadha yaliyoisha RIO akimpongeza mtanzania aliyeshika nafasi ya tano anajua kuwa.. Tanzania ilifanya vizuri katika riadha mwaka 1988 akamalizia kwa kusema kwa kiswahili HAPA KAZI TU..yupo informed

  2. Anonymous Anasema:

    Hongera sana Bw. Kikeke unastahili!