THIS BLOG IS PROUDLY SPONSORED BY VODACOM, TANZANIA'S LEADING CELLULAR NETWORK. | CRDB BANK - THE BANK THAT LISTENS | NATIONAL BANK OF COMMERCE (NBC)- CONVENIENTLY EVERYWHERE | NATIONAL SOCIAL SECURITY FUND (NSSF) | PUBLIC SERVISE PENSIONS FUND (PSPF). ' Karibu katika hii Globu ya jamii. Una karibishwa kutoa maoni yako yoyote yatakayo jenga taifa letu. Nawasihi kila mmoja wetu ajiheshimu kwa kutumia lugha zisizochafua hali ya hewa. Yaliyomo humu hayahusiani kwa vyovyote vile na hariri za magazeti ya Daily News, HabariLeo na Sunday News. Maoni yanayotolewa na wasomaji si ya GLOBU YA JAMII, ni ya mtoa maoni isipokuwa pale itavyoelezwa vinginevyo. Akhsanteni sana na tuendeleze Libeneke.

Gadget

This content isn't available over encrypted connections yet.

SIMU TV: HABARI KUTOKA TELEVISHENI

SIMU.TV: Mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam Paul Makonda amelaani tukio la ujambazi lililosababisha vifo vya askari polisi wanne na wengine kujeruhiwa.https://youtu.be/iIwECCU8-eY

SIMU.TV: Waziri mkuu Kassim Majaliwa ameagiza mikoa yote nchini kuunda kamati za amani lengo likiwa ni kudumisha amani na utulivu uliopo nchini.https://youtu.be/bJR4M24sf3o

SIMU.TV: Mwanasiasa mkongwe nchini Kingunge Ngombale Mwiru amejitokeza na kuwasihi wazee wakiwemo maraisi wastaafu kujitokeza na kusuluhisha hali ya kisiasa iliopo nchini. https://youtu.be/FtGv9I1EX0o

SIMU.TV: Taasisi ya utawala bora na maendeleo Tanzania CEGODETA imevitaka vyama vya siasa kuzingatia madhumuni ya kuanzishwa kwa mfumo wa vyama vingi nchini.https://youtu.be/9U_QSu7mfKc

SIMU.TV: Wananchi wa mkoa wa Mbeya wametakiwa kutojihusisha na maandamano ambayo hayajaruhusiwa kisheria maana kufanya hivyo ni kuvunja sheria,https://youtu.be/oXVId337jv8

SIMU.TV: Rais Dr John Pombe Magufuli amemuapisha Dr Modestus Fransis Kipilimba kuwa mkurugenzi wa usalama wa taifa. https://youtu.be/dKNXfVfRmqg

SIMU.TV: Shirika la nyumba la taifa NHC limewataka wadaiwa sugu wa madeni ya kodi kulipa ndani ya mwezi mmoja vinginevyo wataondolewa ndani ya nyumba walizopanga.https://youtu.be/5tAK5uX7tv8

SIMU.TV: Wakulima wa zao la korosho wilayani Liwale mkoani Lindi wametakiwa kufuata utaratibu uliotolewa na serikali wa kuhakikisha wanalipwa kupitia benki ili kuepusha wizi.https://youtu.be/uxAu_kBADjc

SIMU.TV:  Waziri wa fedha na mipango  Dr. Philip Mpango ametoa ushauri kwa serikali ya mkoa wa Kigoma kuongeza nguvu katika kusimamia ukusanyaji wa mapato ili kuweza kuboresha huduma za jamii. https://youtu.be/2BoFKAMDwS0

SIMU.TV: Kocha mkuu wa timu ya taifa Cherles Boniphace Mkwasa ametaja kikosi cha wachezaji 20 kitakachoivaa timu ya taifa ya Nigeria. https://youtu.be/Lpw1VKQEtsE

SIMU.TV: Kocha wa timu ya taifa ameipongeza timu ya vijana ya Serengeti boys na kuwaasa wachezaji wa timu hiyo kutojiingiza katika kusajiliwa na vilabu vikubwa maana hawatapata nafasi ya kucheza. https://youtu.be/GeZbV_uapIY

SIMU.TV: Timu ya Toto Afrika ya Mwanza imeutumia vizuri uwanja wake wa nyumbani baada ya kuichapa Mwadui fc bao moja kwa bila katika mchezo wa ligi kuu Tanzania bara.https://youtu.be/38iV06-I20I