SIMU.TV: Serikali imetoa tani 100 kwa ajili ya kaya 850 zilizokumbwa na njaa baada ya vyakula vyao kuharibiwa na mafuriko wilayani Ludewa mkoani Njombe;https://youtu.be/yNk4dIlAOVs
SIMU.TV: Jeshi la polisi mkoani Tanga limefanikiwa kuwauwa watu 2 wanaotuhumiwa kuwa ni majambazi huku likiwasaka wengine 2 waliokimbia; https://youtu.be/Pk-V_dM99Tc
SIMU.TV: Naibu waziri wa kilimo, uvuvi na ufugaji William Ole Nasha, ametoa agizo kwa mrajisi wa vyama vya ushirika kwenda kuchunguza mkoani Mtwara ili kubaini kama kuna wizi wa fedha umefanyika; https://youtu.be/F_A1626ogzc
SIMU.TV: Waziri wa ujenzi mawasiliano na uchukuzi Prof Makame Mbarawa, ameagiza kuvunjwa kwa nyumba na majengo yote yaliyojengwa katika hifadhi ya reli Tazara;https://youtu.be/zEmdNrfznls
SIMU.TV: Benki ya NMB imetenga zaidi ya Bilioni 500 kwa ajili ya kutoa mikopo kwa wakulima na wafanyabiashara ili kukuza sekta ya kilimo; https://youtu.be/tuumQyZGK3M
SIMU.TV: Serikali imeanza kutoa mafunzo ya sheria ya VAT ili kuleta uwiano sawa kwa wananchi na kuepusha sintofahamu kama ilivyotokea hapo awali;https://youtu.be/0ZknjHLnXaM
SIMU.TV: Kampuni ya Yono Auction Mart imefanikiwa kushinda tuzo ya kimataifa kutokana na utendaji kazi wake mzuri uliotukuka; https://youtu.be/6wOZ6XRbr2g
SIMU.TV: Timu ya jeshi la Tanzania hii leo imekabidhiwa bendera ya taifa tayari kwenda kuipeperusha kwenye mashindano yanayohusisha majeshi nchini Rwanda ;https://youtu.be/pQs7itbLuwI
SIMU.TV: Shirikisho la soka nchini TFF kwa kushirikiana na FIFA, limeandaa kozi maalumu kwa ajili ya makocha wa magolikipa ili kuwaongezea uwezo walinda milango nchini;https://youtu.be/AUaEi-GK6-o
SIMU.TV: Katika muendelezo wa kuzichambua timu mbalimbali za ligi kuu Tanzania bara, leo hii tutakuwa na timu ya Stand United kutoka mkoani Shinyanga;https://youtu.be/Nw4isbf4g9g
SIMU.TV: Timu ya taifa ya Nigeria maarufu kama Super Eagles, imechelewa kuwasili kwa wakati kwenye michuano ya Olimpiki nchini Brazil kwa kile kinachodaiwa ukosefu wa nauli; https://youtu.be/Zpy6WZvhmp4
KWA HABARI ZAIDI BOFYA HAPA
KWA HABARI ZAIDI BOFYA HAPA
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...