THIS BLOG IS PROUDLY SPONSORED BY VODACOM, TANZANIA'S LEADING CELLULAR NETWORK. | CRDB BANK - THE BANK THAT LISTENS | NATIONAL BANK OF COMMERCE (NBC)- CONVENIENTLY EVERYWHERE | NATIONAL SOCIAL SECURITY FUND (NSSF) | PUBLIC SERVISE PENSIONS FUND (PSPF). ' Karibu katika hii Globu ya jamii. Una karibishwa kutoa maoni yako yoyote yatakayo jenga taifa letu. Nawasihi kila mmoja wetu ajiheshimu kwa kutumia lugha zisizochafua hali ya hewa. Yaliyomo humu hayahusiani kwa vyovyote vile na hariri za magazeti ya Daily News, HabariLeo na Sunday News. Maoni yanayotolewa na wasomaji si ya GLOBU YA JAMII, ni ya mtoa maoni isipokuwa pale itavyoelezwa vinginevyo. Akhsanteni sana na tuendeleze Libeneke.

Gadget

This content isn't available over encrypted connections yet.

SIMU TV: HABARI KUTOKA TELEVISHENI

SIMU.TV: Bweni la wavulana katika shule ya sekondari ya Aldasgate iliyopo wilayani Babati mkoani Manyara lateketea kwa moto na kusababisha hasara kubwa.https://youtu.be/hYLIWLt0W_I

SIMU.TV: Rais Dr. John Pombe Magufuli awaalika wafanyabiashara kutoka nchini Cuba na serikali ya Cuba kuja kuwekeza na kujenga viwanda Tanzania.https://youtu.be/egpbxL19NC0

SIMU.TV: Mtandao wa watetezi wa haki za binadamu Tanzania THRDC umelaani tukio la kuvamiwa na kuuawa kwa polisi katika eneo la Mbande. https://youtu.be/Kt6Rw6s8sIg

SIMU.TV: Mkuu wa wilaya ya Geita Herman Kapufi, awataka wananchi wa wilaya hiyo kutunza miundombinu ya barabara kwa kuwa serikali inatumia gharama nyingi kuitengeneza. https://youtu.be/20Y4bD1affQ

SIMU.TV: Wizara ya elimu sayansi teknolojia na mafunzo ya ufundi imeshauriwa kutafuta idadi kamili ya watoto waishio mtaani na kuwapatia elimu kwa manufaa ya baadae.https://youtu.be/eHQD1SCQ9V0

SIMU.TV: Kufuatia tukio la kupatwa kwa jua Septemba mosi hifadhi ya taifa ya Ruaha imefungua geti la pili la Ikoga ili kuongeza idadi ya watalii katika hifadhi hiyo.https://youtu.be/0eZkPUz6tpk

SIMU.TV: Wafanyabiashara katika eneo la Kariakoo wametakiwa kutii sheria kwa kutopanga bidhaa katika eneo la barabara na kusababisha adha kwa waenda kwa miguu.https://youtu.be/IFCQb_L5M3s

SIMU.TV: Uongozi wa klabu ya soka ya Simba umeeleza kuendelea kupambana na mchezaji Hassan Kessy kwa kuvunja vipengele vya mkataba wake na klabu hiyo.https://youtu.be/omCsI1fNvMI

SIMU.TV: Wachezaji wa mchezo wa gofu kutoka maeneo mbalimbali nchini wameendelea kujiandaa na michuano mbalimbali ikiwemo ile ya mkuu wa majeshi.https://youtu.be/Zj6DtNomSkU

SIMU.TV: Washiriki wa shindano la kumsaka Miss Kinondoni leo wamepata fursa ya kutembelea kampuni ya Mabibo beer and wine ambayo ndio wadhamini wa shindano hilo. https://youtu.be/kZFYx8yXGYs

SIMU.TV: Nahodha wa timu ya taifa ya Uingereza Wayne Rooney amethibitisha kuwa atastaafu kuitumikia timu hiyo mara baada ya michuano ya kombe la dunia 2018.https://youtu.be/mI7Kc93O8qA