THIS BLOG IS PROUDLY SPONSORED BY VODACOM, TANZANIA'S LEADING CELLULAR NETWORK. | CRDB BANK - THE BANK THAT LISTENS | NATIONAL BANK OF COMMERCE (NBC)- CONVENIENTLY EVERYWHERE | NATIONAL SOCIAL SECURITY FUND (NSSF) | PUBLIC SERVISE PENSIONS FUND (PSPF). ' Karibu katika hii Globu ya jamii. Una karibishwa kutoa maoni yako yoyote yatakayo jenga taifa letu. Nawasihi kila mmoja wetu ajiheshimu kwa kutumia lugha zisizochafua hali ya hewa. Yaliyomo humu hayahusiani kwa vyovyote vile na hariri za magazeti ya Daily News, HabariLeo na Sunday News. Maoni yanayotolewa na wasomaji si ya GLOBU YA JAMII, ni ya mtoa maoni isipokuwa pale itavyoelezwa vinginevyo. Akhsanteni sana na tuendeleze Libeneke.


Gadget

This content isn't available over encrypted connections yet.

TANGAZO LA KIFO CHA MTUMISHI WA PPRA James Emmanuel Kitainda

Afisa Mtendaji Mkuu wa PPRA anasikitika kutangaza kifo cha mmoja wa watumishi wa Mamlaka, Bwana James Emmanuel Kitainda (pichani) , kilichotokea siku ya Jumatano, tarehe 10 Agosti, 2016 jijini Dar es Salaam baada ya kuugua kwa muda. 

Bwana Kitainda alijiunga na PPRA kama mtaalamu wa manunuzi mwezi Novemba, 2008, na alikuwa akifanya kazi kwenye Idara ya Ufuatiliaji na Ukidhi. 

Kabla ya kujiunga na PPRA, Marehemu aliwahi kufanya kazi katika Wizara ya Fedha na Mipango katika iliyokuwa Halmashauri Kuu ya Zabuni, kama afisa ugavi. 

Mwili wa marehemu unatarajiwa kuhifadhiwa katika nyumba yake ya milele Jumamosi tarehe 13 Agosti, 2016 katika makaburi ya Kinondoni, Dar es Salaam. Mwenyezi Mungu ailaze roho ya 
Marehemu mahala pema peponi. Amina. 


Kuna Maoni 2 mpaka sasa.

  1. Anonymous Anasema:

    pumzika kwa amani babu!

  2. Hakika Kila Nafsi itaonja Mauti,Sisi sote ni wa Mwenyezi Mungu na kwake tutarejea kwa wakati uliopangwa...! Pumzika kwa amani James Kitainda