Kikao cha Tanzania Worldwide Djs (TWD) kilichofanyika siku ya Jumatano Aug 3, 2016  Escape One, Mikocheni jijini Dar es Salaam kwa ajili ya kuunda katiba ya Chama hicho cha madj kwa lengo la kukipatia usajili ili kiweze kutambuliwa rasmi. TWD kina Madj wote wakongwe waliopo Duniani kote waliotamba enzi hizo kwenye kumbi mbalimbali za disco Tanzania.
Dj John Peter Pantalakis akichangia jambo.
Kikao kikiendelea.
Kushoto ni Dj Sweet Francis akionyesha jambo kwa Dj Mr. A katika kikao cha TWD kilichofanyika Escape One Mikocheni jijini Dar es Salaam, siku ya Jumatano Aug 3, 2016.
Dj Peter Moe akichangia jambo.
Dj Ebony M nae akichangia jambo.
Dj Godfather akitilia mkazo jambo.huku kulia ni Dj John Peter Pantalakis akimsikiliza.
Madj waliohudhurika kikao cha TWD Dj John Peter Pantalakis, Dj Sweet Francis, Dj Kishoka, Dj Mansweaty, Dj Godfather, Dj Peter Moe, Dj Saydou, Dj Young Ray, Dj Venture, Dj Seif Katunda, Dj Young Jesse na Dj Fast Eddy wakiwa katika picha ya pamoja.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...