Familia ya bwana na bibi Rutegama Robert wa Nkuhungu Dodoma inasikitika kutangaza kifo cha shemeji yao mpendwa Ruben Kabuti (pichani) kilichotokea ghafla leo asubuhi katika hospital ya Kamanga, Nyegezi,  Mwanza. 
Mazishi yanatarajiwa kufanyika Ngudu, Kwimba, Mkoani Mwanza, siku ya Alhamis  ya Septemba 1, 2016.
Habari ziwafikie ndugu, jamaa marafiki na jirani wa marehemu  popote pale walipo.

BWANA ALITOA NA BWANA AMETWAA. JINA LAKE NA LIHIMIDIWE 
AMINA

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...