FAMILIA YA MAREHEMU JOSEPH COSMAS MANGO NA BIBI FORTUNATA MANGO YA KINONDONI, DAR ES SALAAM, INAWAKARIBISHA KWENYE MISA YA KUMUAGA MTOTO WAO MPENDWA MAREHEMU CHRISANT NTIRA JOSEPH MANGO (PICHANI)  ITAKAYOFANYIKA KWENYE KANISA LA KATOLIKI MAGOMENI (MASHAIDI WA UGANDA) DAR ES SALAAM  KUANZIA SAA NANE MCHANA LEO TAREHE 9-AGOSTI-2016 NA BAADA YA HAPO KUELEKEA KWENYE MAZISHI KATIKA MAKABURI YA KINONDONI.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...