Mmoja wa abiria akipanda ndani ya Behewa Dar es Salaam jana akielekea Kigoma kwa kutumia usafiri wa haraka  (EXPRESS), ambaye alifahamika kwa jina la Fatuma Kininga, aliushukuru uongozi mzima wa Shirika la Reli Tanzania,   kwa maamuzi yao ya kuanzisha usafiri huo na kuutaja kuwa ni mkombozi kwao
Amesema kubwa hasa linalowasumbua ni upatikanaji wa tiketi ambao amesemani mgumu kiasi, Anawaomba wanaotumia usafiri huo kutunza mazingira bila shuruti kwa kushirikiana na wafanya kazi kuona ni mali yake, kutokanyaga viti, kula vitu na kutupa ndani ya mabehewa hayo, kuweka sheria kali na kuendelea kupewa elimu kila mara kwa abiria, na kila mmoja kumwelimisha mwenzake na kuwa mlinzi kwa mwenzake. Hayo aliyasema jana wakati alipokuwa ndani ya behewa Dar es Salaama. 
(PICHA ZOTE NA KAHMISI MUSSA)    
 Abiria wakiwa ndani ya Behewa tayari kuelekea Bara.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 1 mpaka sasa

  1. Wow fantastic uandishi uliotukuka ningetegemea kujuishwa hiyo train ya express intoaje huduma. Lini inaondoka, na inatumia muda gani kufika huko huko mwisho wa reli may be inasimama vituo vingapi na wapi ili ku qualify kuwa train ya express.

    Waandishi wa habari jifunzeni descriptive writing.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...