Ile hamasa kwa wananchi ya kupanda miti kila eneo lililo wazi na linalostahili kufanyika hivyo, Kamera yetu imeshuhudia Moja ya shimo lililopo katika Barabara ya Fire rodi, likiwa limepandwa mti uliokua kwa ghafla sana ukitofautisha na miti mingine ilivyozoeleka. Hii ni hatua nzuri sana iliyofikiwa na wakazi wa eneo hili ya kuhakikisha kila palipo na shimbo basi panastahili kupandwa mti. Picha na Othman Michuzi.
Mti ulivyochanua baada ya kupandwa hivi karibuni.
Mpango wa upandaji mti huo ulianza mapema wiki iliyopita kwa kuzungushiwa utepe eneo hilo (bila shaka kuna kiongozi aliyealikwa kuupanda mti huu), maana tulipopita leo ule utepe haukuwepo.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...