Bi harusi Mtarajiwa Jestina Julius (kushoto) akiwa katika  tabasamu na mpambe wake Mrs. Upendo Shija mara baada ya kumaliza kurembwa   Clara Beauty Salon iliyopo Kimara Suka Dar es Salaam, ambako Sherehe ya Send Off  yake  itafanyika katika Ukumbi wa Unenamwa na kufatiwa na Ndoa inayotarajiwa kufungwa Agosti 21, 2016  jijini Dar es Salaam  katika kanisa la Waebrania (E.A.G.T) lililopo Kimara. Picha zaidi BOFYA HAPA

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...