THIS BLOG IS PROUDLY SPONSORED BY VODACOM, TANZANIA'S LEADING CELLULAR NETWORK. | CRDB BANK - THE BANK THAT LISTENS | NATIONAL BANK OF COMMERCE (NBC)- CONVENIENTLY EVERYWHERE | NATIONAL SOCIAL SECURITY FUND (NSSF) | PUBLIC SERVISE PENSIONS FUND (PSPF). ' Karibu katika hii Globu ya jamii. Una karibishwa kutoa maoni yako yoyote yatakayo jenga taifa letu. Nawasihi kila mmoja wetu ajiheshimu kwa kutumia lugha zisizochafua hali ya hewa. Yaliyomo humu hayahusiani kwa vyovyote vile na hariri za magazeti ya Daily News, HabariLeo na Sunday News. Maoni yanayotolewa na wasomaji si ya GLOBU YA JAMII, ni ya mtoa maoni isipokuwa pale itavyoelezwa vinginevyo. Akhsanteni sana na tuendeleze Libeneke.


Gadget

This content isn't available over encrypted connections yet.

VIDEO: HOTUBA YA RAIS DKT. MAGUFULI ALIYOITOA KWA WANACCM NA WATANZANIA KWA UJUMLA


Hoja moja imeshachangiwa mpaka sasa.

  1. HK Anasema:

    Mwenyeez Mungu azidi kukulinda Mh. Rais wetu wa awamu ya tano John Pombe Joseph MAGUFULI. In Sha Allah, tunazidi kukuombe kila DUA njema ili Mwenyeez Mungu azidi kukuongeza na kukupa nguvu na ujasiri huo huo siku hadi siku ili uzidi kupigania haki za wanyonge, maskini na wanachi wote waliokuwa madhilani ambao ndio wengi waliokuwa wakiadhibika miaka nenda miaka rudi pasina kujuwa ni lini na ipi ingekuwa khatma yao. Yote uyatendayo jaza yako utaikuta kesho mbele ya haki twendako, usikate tamaa wala kukatishwa tamaa na chochote au yeyote yule, msema kweli siku zote ni mpenzi wa Mungu ya walimwengu hayakosekani, yape mgongo endelea kuchapa kazi kwa manufaa ya kila mwananchi na kila Mtanzania na Taifa zima kwa jumla, pasina kujali itikadi au tofauti zozote zile zilizopo. Mungu Ibariki Tanzania, Ibariki Afrika, Ibariki Dunia nzima kwa jumla na umbariki Rais wetu Mh.JPM - AMEN.