Umoja wa wanafunzi wazaliwa na waliosoma na kumaliza kidato cha nne kati ya mwaka 1980-82 katika Shule ya Sekondari Uyui iliyoko Mkoani Tabora, wakiwa katika picha ya pamoja wakati walipofanya sherehe ikiwa ni ishara ya kufurahia kukutana ambapo iliandamana na mkutano wao rasmi wa kwanza baada ya kuanzishwa umoja huo jijini Dar es Salaam jana

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...