Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na Mkuu wa mkoa wa Mbeya, Amos
Makalla baada ya kuwasili kwenye uwanja wa ndege wa Songwe, Mbeya
Agosti 7, 2016 ambako Agosti 8, 2016 atahitimisha maonyesho ya wakulima
Nanenane
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa na mkewe Mary wakipokea heshima kutoka
kwa Skauti wa Mbeya baada ya kuwasili kwenye uwanja wa Songwe Agosti 7,
2016 ambako Agosti nane atahitimisha maonyesho ya wakulima Nanenane.
Kushoto ni Mkuu wa Mkoa wa Mbeya, Amos Makalla.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa na Mkewe Mary wakifurahia ngoma baada ya
kuwasili kwenye uwanja wa ndege wa Songwe, Mbeya Agosti 7, 2016 ambako
Agosti 8, 2016 Mheshimiwa Majaliwa atahitimisha maonyesho ya wakulima
Nanenane. Kushoto ni Mkuu wa Mkoa wa Mbeya Amos Makla. (Picha na Ofisi
ya Waziri Mkuu)
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...