THIS BLOG IS PROUDLY SPONSORED BY VODACOM, TANZANIA'S LEADING CELLULAR NETWORK. | CRDB BANK - THE BANK THAT LISTENS | NATIONAL BANK OF COMMERCE (NBC)- CONVENIENTLY EVERYWHERE | NATIONAL SOCIAL SECURITY FUND (NSSF) | PUBLIC SERVISE PENSIONS FUND (PSPF). ' Karibu katika hii Globu ya jamii. Una karibishwa kutoa maoni yako yoyote yatakayo jenga taifa letu. Nawasihi kila mmoja wetu ajiheshimu kwa kutumia lugha zisizochafua hali ya hewa. Yaliyomo humu hayahusiani kwa vyovyote vile na hariri za magazeti ya Daily News, HabariLeo na Sunday News. Maoni yanayotolewa na wasomaji si ya GLOBU YA JAMII, ni ya mtoa maoni isipokuwa pale itavyoelezwa vinginevyo. Akhsanteni sana na tuendeleze Libeneke.

Gadget

This content isn't available over encrypted connections yet.

WAZIRI MKUU, MAJALIWA AKUTANA NA MKURUGENZI WA BENKI YA DUNIA NCHINI.  Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na  Mkurugenzi wa Benki ya Dunia Nchini, Bi. Bella  Bird  kabla ya mazungumzo yao, Ofisini kwake jijini Dar es salaam Agosti 18, 2016. 
  Waziri Mkuu, Kassim Maajliwa akizungumza  na  Mkurugenzi wa Benki ya Dunia Nchini, Bi. Bella  Bird, Ofisini kwake jijini Dar es salaam Agosti 18, 2016. 
(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)