Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Ofisa Mtendaji Mkuu wa Global Fund, Mark Dybul  (kulia  kwake)  kwenye hoteli ya Windsor Agosti 26,2016.Kushoto kwake ni Balozi wa Tanzania nchini Japan, Mathias Chikawe.
 Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Ofisa Mtendaji Mkuu wa Global Fund, Mark Dybul    kwenye hoteli ya Windsor Agosti 26,2016.
 Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na Ofisa Mtendaji Mkuu wa Global Fund, Mark Dybul   kabla ya mazungumzo yao kwenye hoteli ya Windsor jijini Nairobi, Agosti 26,2016.
 (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...