Waziri wa Viwanda, Biashara na Uwekezaji, Mhe. Charles Mwijage akiwa katika picha ya pamoja na Mkuu wa Mkoa wa Kagera, Meja Gen. Mstaafu, Mhe. Salum M. Kijuu, mara baada ya kufanya mazungumzo ofisini kwa Mkuu wa Mkoa.
Waziri wa Viwanda, Biashara na Uwekezaji, Mhe. Charles Mwijage akiwa katika moja ya banda la mifugo, wakati alipotembelea Maonyesho ya Wakulima yanayoendelea kufanyika Mkoani Kagera na kujionea shughuli mbalimbali zinazofanyika kwenye Maonyesho hayo.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 1 mpaka sasa

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...