THIS BLOG IS PROUDLY SPONSORED BY VODACOM, TANZANIA'S LEADING CELLULAR NETWORK. | CRDB BANK - THE BANK THAT LISTENS | NATIONAL BANK OF COMMERCE (NBC)- CONVENIENTLY EVERYWHERE | NATIONAL SOCIAL SECURITY FUND (NSSF) | PUBLIC SERVISE PENSIONS FUND (PSPF). ' Karibu katika hii Globu ya jamii. Una karibishwa kutoa maoni yako yoyote yatakayo jenga taifa letu. Nawasihi kila mmoja wetu ajiheshimu kwa kutumia lugha zisizochafua hali ya hewa. Yaliyomo humu hayahusiani kwa vyovyote vile na hariri za magazeti ya Daily News, HabariLeo na Sunday News. Maoni yanayotolewa na wasomaji si ya GLOBU YA JAMII, ni ya mtoa maoni isipokuwa pale itavyoelezwa vinginevyo. Akhsanteni sana na tuendeleze Libeneke.

Gadget

This content isn't available over encrypted connections yet.

WILAYA YA KINONDONI YABAINI WANAFUNZI HEWA.


Kuna Maoni 3 mpaka sasa.

  1. Anonymous Anasema:

    Nilifikiri kuna upungufu mkubwa sana wa walimu Bongo. Sasa walimu wote hao wakitimuliwa nani atafundisha watoto wetu. Ni dhahir kuwa walimu hao wamekosa katika matendo yao, nakiri wastahili adhabu kiasi cha makosa yao,lakini kuwafukuza kazi horera, watakaopata adhabu ni wanafunzi. Jamani paa la nyumba lina hitilafu na lavuja, na mvua yapiga, jee utalibomoa paa hilo linalovuja wakati mvua yapiga?

  2. Anonymous Anasema:

    corrupted video !

  3. Anonymous Anasema:

    Hawajafukuzwa, Wanashushwa vyeo. Wataendelea kufundisha