Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 3 mpaka sasa

  1. Nilifikiri kuna upungufu mkubwa sana wa walimu Bongo. Sasa walimu wote hao wakitimuliwa nani atafundisha watoto wetu. Ni dhahir kuwa walimu hao wamekosa katika matendo yao, nakiri wastahili adhabu kiasi cha makosa yao,lakini kuwafukuza kazi horera, watakaopata adhabu ni wanafunzi. Jamani paa la nyumba lina hitilafu na lavuja, na mvua yapiga, jee utalibomoa paa hilo linalovuja wakati mvua yapiga?

    ReplyDelete
  2. corrupted video !

    ReplyDelete
  3. Hawajafukuzwa, Wanashushwa vyeo. Wataendelea kufundisha

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...