THIS BLOG IS PROUDLY SPONSORED BY VODACOM, TANZANIA'S LEADING CELLULAR NETWORK. | CRDB BANK - THE BANK THAT LISTENS | NATIONAL BANK OF COMMERCE (NBC)- CONVENIENTLY EVERYWHERE | NATIONAL SOCIAL SECURITY FUND (NSSF) | PUBLIC SERVISE PENSIONS FUND (PSPF). ' Karibu katika hii Globu ya jamii. Una karibishwa kutoa maoni yako yoyote yatakayo jenga taifa letu. Nawasihi kila mmoja wetu ajiheshimu kwa kutumia lugha zisizochafua hali ya hewa. Yaliyomo humu hayahusiani kwa vyovyote vile na hariri za magazeti ya Daily News, HabariLeo na Sunday News. Maoni yanayotolewa na wasomaji si ya GLOBU YA JAMII, ni ya mtoa maoni isipokuwa pale itavyoelezwa vinginevyo. Akhsanteni sana na tuendeleze Libeneke.

Gadget

This content isn't available over encrypted connections yet.

YALIYOJIRI KATIKA VITUO MBALIMBALI VYA TELEVISHENI LEO August 13, 2016.


SIMU.tv: Inaelezwa kuwa vijana wengi wa kitanzania bado wanakabiliwa na changamoto mbali mbali ikiwemo changamoto ya kiuchumi; https://youtu.be/zGW_8PtJr3Y
SIMU.tv: Mkuu wa mkoa wa Mbeya Amos Makala asitisha zoezi la uchenjuaji dhahabu katika mgodi wa Mbuyuni  uliopo Chunya ; https://youtu.be/EWrbu3lJ-nQ
SIMU.tv: Wananchi wa Kalulu wilyani  Tunduru  wako hatarini kukumbwa na njaa kutokana na Tembo kuvamia mashamba ya wananchi hao; https://youtu.be/OMyffvpznt8
SIMU.tv: Rais John Magufuli asema wakati umefika wa kukisafisha Chama Cha Mapinduzi CCM. https://youtu.be/ZTOQRR11IxQ
SIMU.tv: Makamu wa Rais Samia Suluhu awataka watoto wa kike nchini kuchangamkia masomo ya sayansi. https://youtu.be/ezwrMjHUcVE
SIMU.tv: Mkuu wa mkoa wa Ruvuma ampa siku 7 aliyekuwa kaimu mkuu wa idara ya ujenzi halmshauri ya Nyasa kujibu tuhuma za ubadhilifu wa fedha za umma;https://youtu.be/7du-JsP84wY
SIMU.tv: Serikali wilayani Mwanga yawataka wananchi  wa kijiji cha Kileo kuzingatia taratibu na sheria za ardhi; https://youtu.be/L-_NT0b4ZQ0
SIMU.tv: Wakazi wa kata ya Kayenze wilayani Ilemela mkoani Mwanza waiomba serikali kuwaboreshea huduma ya maji safi na salama; https://youtu.be/-Tg893bQ6d4
SIMU.tv: Wakazi wa kijiji cha Gubali mkoani Dodoma wapiga kura ya kumuondoa mwenyekiti wao kwa kushindwa kutimiza wajibu wake vizuri;ttps://youtu.be/8ZWTSSoEBrI
SIMU.tv: Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi CCM Dkt. John Magufuli awataka wanachama wa CCM kuzingatia maadili ya chama; https://youtu.be/DLGeOvUCHUA
SIMU.tv: Mabingwa wa ligi kuu Tanzania bara Yanga, leo wanaikaribisha timu ya Mo Bejaia katika mchezo wa nne ili kuwania mchezo wa shirikisho barani Afrika;https://youtu.be/9n9AkGkyUCY
SIMU.tv: Mkuu wa koa wa Dar Es Salaam Mh.Paul Makonda  anatarajia kupanda ulingoni kuzichapa na bondia Francis Cheka katika pambano la kuhamasisha usafi jijini Dar Es Salaam: https://youtu.be/WlVxR8r_2r4
SIMU.tv: Mwanariadha wa Ethiopia Almaz Ayana amevunja rekodi ya dunia ya mbio za mita elfu 10 katika mashindano ya Olympic nchini Brazili: https://youtu.be/zka6FlUCHFM