THIS BLOG IS PROUDLY SPONSORED BY VODACOM, TANZANIA'S LEADING CELLULAR NETWORK. | CRDB BANK - THE BANK THAT LISTENS | NATIONAL BANK OF COMMERCE (NBC)- CONVENIENTLY EVERYWHERE | NATIONAL SOCIAL SECURITY FUND (NSSF) | PUBLIC SERVISE PENSIONS FUND (PSPF). ' Karibu katika hii Globu ya jamii. Una karibishwa kutoa maoni yako yoyote yatakayo jenga taifa letu. Nawasihi kila mmoja wetu ajiheshimu kwa kutumia lugha zisizochafua hali ya hewa. Yaliyomo humu hayahusiani kwa vyovyote vile na hariri za magazeti ya Daily News, HabariLeo na Sunday News. Maoni yanayotolewa na wasomaji si ya GLOBU YA JAMII, ni ya mtoa maoni isipokuwa pale itavyoelezwa vinginevyo. Akhsanteni sana na tuendeleze Libeneke.

Gadget

This content isn't available over encrypted connections yet.

YALIYOJIRI KATIKA VITUO MBALIMBALI VYA TELEVISHENI LEO AUGUST 24, 2016


 Tazama kauli ya mjumbe wa mkutano mkuu wa CUF akifafanua jambo kuhusu hali inayoendelea ndani ya CUF; https://youtu.be/8dcj4iw1_KM

 Msajili wa vyama vya siasa nchini  Jaji Mutungi awaondoa wasi wasi watanzania kuhusu hali ya kisiasa inayoendelea nchini; https://youtu.be/sdvXB_fh3Fs
 Waziri mkuu Kassim Majaliwa amuagiza mkuu wa wilaya ya Nkasi kuwakamata watu wanaojihusisha na uharibifu wa misitu; https://youtu.be/arC96tIIQoU
 Chuo kikuu cha Dodoma UDOM kinaandaa mtaala ya shahada ya uzamili ya mafuta na gesi ili kupata wataalam wa kutosha katika sekta ya mafuta na gesi;https://youtu.be/41fjciHW1b8
 Halmshauri ya wilaya ya Mufundi  mkoani Iringa yabaini udanganyifu mkubwa katika vibali vya kusafirisha mbao; https://youtu.be/9gHNSMGQo1w
 Pata uchambuzi makini kuhusiana na taaluma ya maendeleo ya jamii inayotolewa na vyuo takribani 9 vya wizara ya afya; https://youtu.be/2oa45_YaGvs
 Je unafahamu namna sahihi ya kukuza biashara? Ungana na mchambuzi wako mahiri upate mbinu sahihi za kukuza biashara yako; https://youtu.be/EeGSLh5bzTY
 Timu ya Yanga  imekamilisha ratiba ya mashindano ya kombe la shirikisho barani Afrika kwa  kukubali kipigo cha mabao 3 kwa 1 kutoka kwa TP Mazembe:https://youtu.be/3Ja3DUkQ9w4
 Kocha msaidizi wa timu ya African Lion amesema wanaendelea kufanya marekebisho katika kikosi chao ili kufanya vizuri katika mechi yao ya ligi kuu Tanzania bara:https://youtu.be/Y97EgjBd2kA
 Timu ya mpira wa miguu ya ufukweni  ya Tanzania ijumaa hii itashuka ulingoni na kucheza na Ivory Coast kuwania nafasi ya kombe la kimataifa;https://youtu.be/ICyRO15NGzE.