Mkurugenzi wa mawasiliano wa Airtel Bi Beatrice Singano (kulia) akiongea na waandishi wa habari wakati wa kuzindua kampeni kabambe ijulikanayo kama “Sibanduki” mamba yote yako huku” inayotoa ofa kabambe kwa wateja wapya na faida kwa wateja wake kupitia huduma na bidhaa zake. Sibanduki kampeni inatoa  ofa kambambe ya dakika 60 sms 200 na MB bure kwa wateja wapya. Akishuhudia ni Mkurugenzi wa masoko wa Airtel, Isack Nchunda
 Mkurugenzi wa mawasilianoa wa Airtel Bi Beatrice Singano Mallya (kulia)  pamoja na Mkurugenzi wa masoko wa Airtel, Isack Nchunda kwa pamoja wakionyesha bango la kampeni mpya  ijulikananayo kama “Sibanduki... mamba yote yako huku” inayotoa ofa kabambe kwa wateja wapya na faida zaidi kwa wateja wake kwenye  huduma na bidhaa zake. Sibanduki kampeni inatoa  ofa kambambe ya dakika 60 sms 200 na MB bure kwa wateja wapya.
Kwa taarifa kamili BOFYA HAPA

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...