SIMU TV: Mkuu wa wilaya ya Ilala Sophia Mjema  azindua kampeni mahususi kwa kuwasadia waathirika wa tetemeko la ardhi mkoani Kagera ;https://youtu.be/NPEVTxFA3NI
 SIMU TV: Baadhi ya waathirika wa tetemeko la ardhi mkoani Kagera wamesema bado hawajafikiwa na misaada; https://youtu.be/r6XjRoV7V98
 SIMU TV: Watanzania wametakiwa kutumia huduma ya bima  kwa mali muhimu na zile zisizohamishika; https://youtu.be/tNXcUCFGYqI
 SIMU TV: Fuatilia sehemu ya pili ya maisha ya msichana Wakonta Kapunda aneyeandika kwa kutumia ulimi; https://youtu.be/pQ_CdfqmEVE
 SIMU TV: Mashabiki wa soka nchini kuona bure mechi baina ya Serengeti Boys na  timu ya vijana ya Congo – Brazzaville; https://youtu.be/P-ljNQD9EuE
 SIMU TV:  Klabu ya Simba yaitandika Azam FC goli 1-0 katika mchezo wa ligi kuu soka Tanzania bara uliochezwa katika dimba la Uhuru Dar es Salaam;https://youtu.be/he_2zOEF2tY
 SIMU TV: Klabu ya Arsenal yaitandika bila huruma klabu ya Hull City kwa jumla ya goli 4-1 katika mchezo wa ligi kuu soka ya Uingereza; https://youtu.be/Cc6vbFmimEo
 SIMU TV: Mvua kubwa sana iliyonyesha mkoani  Rukwa  imesababisha nyumba 21 kuanguka,vifo vya mifugo na watoto watatu kunusurika kifo:https://youtu.be/Cix0yj0riAg
 SIMU TV: Serikali imesema azimio lake la kujenga uchumi wa  viwanda litafanikiwa ikiwa wataungwa mkono na wafanyabiashara wa ndani;https://youtu.be/c0WtsRcWpe0
 SIMU TV: Mamlaka ya udhibiti wa huduma za  nishati ya maji na umeme EWURA  imebaini kuwepo kwa kiwanda bubu cha gesi kilichopo Mbagala wilayani Temeke:https://youtu.be/sWPVlGYCJKM
 SIMU TV: Kaya zilizopo kwenye mpango wa kunusuru kaya maskini wilayani Kiteto zimeomba kuongezewa fedha wanazopewa na TASAFU ili kukidhi haja zao:https://youtu.be/vMuztpCfnsc
 SIMU TV: Timu ya Simba imefanikiwa kuongoza katika mchezo wa ligi kuu Tanzania bara baada ya kuichabanga timu ya Azam goli moja; https://youtu.be/MRLmoXMYr_Y
 SIMU TV: Mashindano ya siku 2 ya sanaa ya mapigano yenye asili ya China WUSHU yamezinduliwa leo katika uwanja wa taifa jijini Dar Es Salaam:https://youtu.be/TZAgSkpnI28
 SIMU TV: Polisi nchini Ujerumani wameimarisha doria, ulinzi na usalama wa hali ya juu wakati linapoanza tamasha kubwa la bia duniani: https://youtu.be/VSlhZRvxNkE

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...