Mkuu wa wilaya ya Iringa Mhe Richard Kasesela akifungua kwa ukakamavu mafunzo ya Mgambo kijiji cha Mboliboli kwenye tarafa ya Pawaga. Kikosi hiki kitashirki kikamilifu katika kupambana na ujangili. zaidi ya washiriki 357 wamejiunga na mafunzo ya mgambo wilaya ya Iringa. Baada ya Mkuu wa wilaya kuhamasisha vijana wajiunge na mafunzohayo
Mkuu wa wilaya ya Iringa Mhe Richard Kasesela akipiga jalamba wakati akifungua kwa ukakamavu mafunzo ya Mgambo kijiji cha Mboliboli kwenye tarafa ya Pawaga
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...