THIS BLOG IS PROUDLY SPONSORED BY VODACOM, TANZANIA'S LEADING CELLULAR NETWORK. | CRDB BANK - THE BANK THAT LISTENS | NATIONAL BANK OF COMMERCE (NBC)- CONVENIENTLY EVERYWHERE | NATIONAL SOCIAL SECURITY FUND (NSSF) | PUBLIC SERVISE PENSIONS FUND (PSPF). ' Karibu katika hii Globu ya jamii. Una karibishwa kutoa maoni yako yoyote yatakayo jenga taifa letu. Nawasihi kila mmoja wetu ajiheshimu kwa kutumia lugha zisizochafua hali ya hewa. Yaliyomo humu hayahusiani kwa vyovyote vile na hariri za magazeti ya Daily News, HabariLeo na Sunday News. Maoni yanayotolewa na wasomaji si ya GLOBU YA JAMII, ni ya mtoa maoni isipokuwa pale itavyoelezwa vinginevyo. Akhsanteni sana na tuendeleze Libeneke.

Gadget

This content isn't available over encrypted connections yet.

JARIDA LA WIZARA YA NISHATI NA MADINI TOLEO NA. 135


Kuna Maoni 8 mpaka sasa.

 1. Anonymous Anasema:

  kwa sababu uchina ndo kuna elimu bora zaidi duniani?

 2. Anonymous Anasema:

  Kwingine nako kuna fursa za elimu nzuri ila na hapa tunashukuru fursa zimepatikana kwa ajili ya vijana wetu ili tuongeze wataalam wakiwemo wale wenye ujuzi wa kutoka nchi mbali mbali.

 3. Anonymous Anasema:

  wewe anony wa kwanza naomba kukuuliza swali. Kwa ufahamu wako wewe elimu bora duniani inapatikana nchi gani au iko wapi? Maana ninavyoelewa mimi kutuma watu katika nchi furani kusoma inategemeana na sababu nyingi na sio moja tu ile ya elimu bora, japo elimu bora ni muhimu. swali lako limekaa mkao wa kejeli.

 4. Anonymous Anasema:

  Utakejelika kama kweli si elimu bora. Kwani ubora ndo bora kuliko bora elimu.

  Elimu bora iko kwenye nchi inayoongoza kitechnologia ulimwenguni katika fani hiyo. Kwani hata mafunzo ya vitendo yatakuwa na vifaa vya hali ya juu.

 5. Anonymous Anasema:

  Tumekuwa tukilalamikia bidhaa za china muda mrefu kuwa duni au feki. Zinasababisha ajali za moto. Sababu unadhani ni nini? Sababu nazo tatu kwa mtazamo wangu, 1)uduni wa elimu yao, 2)uduni wa technolojia yao, na 3)uduni wa maadilio ya wahandisi wao kwa kutojali thamani ya mteja na kutanguliza tamaa ya pesa mbele.

 6. Anonymous Anasema:

  KIZALENDO: uchina ni rafiki zetu ndo maana hupenda kusomea huko.
  KIUKWELI: sisi masikini nao wametupa msaada au ndiyo karo nafuu tunayomudu. Hakuna cha bure na kilicho bora zaidi ni ghali zaidi. Pia uchina hakuna uraia hivo hawa jamaa lazima warejee nchini wakimaliza masomo, siyo kama ulaya na amerika. Hivo nchi haitapoteza mtajiwatu

 7. Anonymous Anasema:

  China nchi ya dili. Wanachochukua ni kikubwa kuliko wananchotoa. Nchi masikini huishi kwa dili.

  Uzuri JPM hapendi dili na akigundua masomo hayo dili utumbuaji huenda ukaja.

 8. Anonymous Anasema:

  were lazier utakuwa mzee tu...mbona unakasirika sana na maswali?
  unaogopa kutumbuliwa ndio unahamaki kiasi hiki?
  pole