Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 8 mpaka sasa

  1. kwa sababu uchina ndo kuna elimu bora zaidi duniani?

    ReplyDelete
  2. Kwingine nako kuna fursa za elimu nzuri ila na hapa tunashukuru fursa zimepatikana kwa ajili ya vijana wetu ili tuongeze wataalam wakiwemo wale wenye ujuzi wa kutoka nchi mbali mbali.

    ReplyDelete
  3. wewe anony wa kwanza naomba kukuuliza swali. Kwa ufahamu wako wewe elimu bora duniani inapatikana nchi gani au iko wapi? Maana ninavyoelewa mimi kutuma watu katika nchi furani kusoma inategemeana na sababu nyingi na sio moja tu ile ya elimu bora, japo elimu bora ni muhimu. swali lako limekaa mkao wa kejeli.

    ReplyDelete
  4. Utakejelika kama kweli si elimu bora. Kwani ubora ndo bora kuliko bora elimu.

    Elimu bora iko kwenye nchi inayoongoza kitechnologia ulimwenguni katika fani hiyo. Kwani hata mafunzo ya vitendo yatakuwa na vifaa vya hali ya juu.

    ReplyDelete
  5. Tumekuwa tukilalamikia bidhaa za china muda mrefu kuwa duni au feki. Zinasababisha ajali za moto. Sababu unadhani ni nini? Sababu nazo tatu kwa mtazamo wangu, 1)uduni wa elimu yao, 2)uduni wa technolojia yao, na 3)uduni wa maadilio ya wahandisi wao kwa kutojali thamani ya mteja na kutanguliza tamaa ya pesa mbele.

    ReplyDelete
  6. KIZALENDO: uchina ni rafiki zetu ndo maana hupenda kusomea huko.
    KIUKWELI: sisi masikini nao wametupa msaada au ndiyo karo nafuu tunayomudu. Hakuna cha bure na kilicho bora zaidi ni ghali zaidi. Pia uchina hakuna uraia hivo hawa jamaa lazima warejee nchini wakimaliza masomo, siyo kama ulaya na amerika. Hivo nchi haitapoteza mtajiwatu

    ReplyDelete
  7. China nchi ya dili. Wanachochukua ni kikubwa kuliko wananchotoa. Nchi masikini huishi kwa dili.

    Uzuri JPM hapendi dili na akigundua masomo hayo dili utumbuaji huenda ukaja.

    ReplyDelete
  8. were lazier utakuwa mzee tu...mbona unakasirika sana na maswali?
    unaogopa kutumbuliwa ndio unahamaki kiasi hiki?
    pole

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...