Rais  Mstaafu  Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete  akipokea Tuzo ya  Uongozi wa Kisiasa na  Utetezi kutoka kwa  Mkurugenzi Mtendaji wa  Speak Up Afrika  Bi Kate  Campana,  katika hafla iliyofanyika siku ya Alhamis  New York Marekani. Tuzo hiyo  ni kutambua jitihada na juhudi zake za kufikisha huduma za jamii hususani  afya kwa   kwa wanawake na watoto.
 .Rais Mstaafu  Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete  baada ya  kupokea Tuzo yake akirejea kwenye kiti chake

Rais Mstaafu Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete akizungumza  baada ya kukabidhiwa Tuzo yake  na katika shukrani zake za kukubali   Tuzo hiyo, amesema Tuzo hiyo ni kwa watoto wote wa Afrika ambao ndio  wamemwezesha yeye kupata Tuzo .
Kwa taarifa kamili BOFYA HAPA


Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 2 mpaka sasa

  1. Hongera sana mh rais wetu mstaafu
    Hakika haya yote unastahili
    Mungu akupe afya njema na umri mrefu ameeen

    ReplyDelete
  2. MKUU, ONGERA SANA, KWANI UTAKACHO PANDA NDICHO UTAKACHO VUNA, NA SASA HAYA NI MATUNDA YAKO,NA TANZANIA KWA UJUMLA MUNGU AKUBALIKI KWA YOTE, PUMZIKA KWA AMANI MKUU,USISAHAU NABII HAKUBALIWI KWAO.
    DR, JAMESY

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...