Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa na Waziri wa Elimu Profesa Joyce Ndalichako wakiangalia kwa furaha maendeleo ya ujenzi wa mabweni hayo unavyoendelea kwa kasi katika viwanja vya Chuo Kikuu cha Dar es Salaa. 
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akikagua baadhi ya maeneo katika gorofa ya kwanza ya moja ya mabweni hayo katika eneo la Chuo Kikuu cha Dar es Salaam.
KWA PICHA ZAIDI BOFYA HAPA.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 2 mpaka sasa

  1. Hii ni kazi nzuri iendelee.

    ReplyDelete
  2. The mdudu, Asante sana rais wetu mpendwa John Pombe Magufuli kweli kabisa tenda za ujenzi zote wapewe wao na ikiwezekana pia wapewe na JKT yaani Jeshi la kujenga taifa ili wai badilishe Tanzania yetu kwa muda mfupi sana.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...