Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia Mhe.Prof.Joyce Ndalichako (wa kwanza kushoto) akimsikiliza Katibu Mkuu Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera na Uratibu) Dkt. Hamisi Mwinyimvua wakati walipotembelea shule ya sekondari ya Nyakato kujionea athari za maafa ya tetemeko la ardhi Mkoani Kagera Septemba19, 2016.
 Katibu Mkuu Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera na Uratibu) Dkt. Hamisi Mwinyimvua (wa kwanza kushoto) akizungumza wakati wa ziara yake alipotembelea shule zilizopata athari za maafa ya tetemeko la ardhi mkoani Kagera, wa kwanza kulia ni Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia Mhe.Prof.Joyce Ndalichako.
 Katibu Mkuu Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera na Uratibu) Dkt. Hamisi Mwinyimvua (kulia) akiangalia jengo la ofisi ya walimu lililoathiriwa na maafa ya tetemeko la ardhi katika shule ya sekondari ya Mugeza Mkoani Kagera.
Baadhi ya majengo ya shule ya sekondari ya Ihungo yariyobomoka kutokana na athari za maafa ya tetemeko la ardhi Kagera. 
Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...