THIS BLOG IS PROUDLY SPONSORED BY VODACOM, TANZANIA'S LEADING CELLULAR NETWORK. | CRDB BANK - THE BANK THAT LISTENS | NATIONAL BANK OF COMMERCE (NBC)- CONVENIENTLY EVERYWHERE | NATIONAL SOCIAL SECURITY FUND (NSSF) | PUBLIC SERVISE PENSIONS FUND (PSPF). ' Karibu katika hii Globu ya jamii. Una karibishwa kutoa maoni yako yoyote yatakayo jenga taifa letu. Nawasihi kila mmoja wetu ajiheshimu kwa kutumia lugha zisizochafua hali ya hewa. Yaliyomo humu hayahusiani kwa vyovyote vile na hariri za magazeti ya Daily News, HabariLeo na Sunday News. Maoni yanayotolewa na wasomaji si ya GLOBU YA JAMII, ni ya mtoa maoni isipokuwa pale itavyoelezwa vinginevyo. Akhsanteni sana na tuendeleze Libeneke.

KATIBU MKUU UCHUKUZI ALIPOPOKEA NDEGE YA KWANZA YA BOMBARDIER Q400 NEXGEN


Hoja moja imeshachangiwa mpaka sasa.

  1. Anonymous Anasema:

    hii ndege inaonekana kabisa ni mpya , isiwe kuharibika kila mara kwa ukosefu kwa uangalizi, tatizo letu tukipata kitu kipya tunasahau kufanyia service inapofika muda wake mpaka inaharibika ndio huwa tunaanza kutafutana. Pia bei ya tiketi inatakiwa iwe nafuu kuliko ndege nyengine zilizopo nchini za mashirika binafsi ndipo lengo litakuwa limefikiwa , hatutaki tena ATC watuambie wamepata hasara , huwa wanapata hasara vipi wakati ndege zao huwa hazikosi abiria? waache uwizi( sisemi ubadhirifu wala ufisadi tuwe wakweli mtu akiiba ni mwizi hakuna jengine)