Katibu Mtendaji wa Bodi ya Filamu Tanzania (TFB) Bibi. Joyce Fissoo akizungumza wakati wa kikoa baina yake na Ujumbe kutoka Kampuni ya Barazani Entertainment walipofika ofisini kwa ajili ya kutambulisha Mradi wa TYEEO Barazani leo Jijini Dar es Salaam.Mradi huo unalenga kuinua vipaji vya wasanii wa Filamu nchini.
Katibu Mtendaji wa Bodi ya Filamu Tanzania (TFB) Bibi. Joyce Fissoo akiwa katika picha ya pamoja na wajumbe kutoka Kampuni ya Barazani Entertainment mara baada ya kikao cha kutambulisha Mradi wa TYEEO Barazani, leo Jijini Dar es Salaam. Mradi huo unalenga kuinua vipaji vya wasanii wa Filamu nchini, ambapo Mradi huo utasaidia klusambaza kazi za wasniii wa Filamu kwa njia ya kisasa.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...