THIS BLOG IS PROUDLY SPONSORED BY VODACOM, TANZANIA'S LEADING CELLULAR NETWORK. | CRDB BANK - THE BANK THAT LISTENS | NATIONAL BANK OF COMMERCE (NBC)- CONVENIENTLY EVERYWHERE | NATIONAL SOCIAL SECURITY FUND (NSSF) | PUBLIC SERVISE PENSIONS FUND (PSPF). ' Karibu katika hii Globu ya jamii. Una karibishwa kutoa maoni yako yoyote yatakayo jenga taifa letu. Nawasihi kila mmoja wetu ajiheshimu kwa kutumia lugha zisizochafua hali ya hewa. Yaliyomo humu hayahusiani kwa vyovyote vile na hariri za magazeti ya Daily News, HabariLeo na Sunday News. Maoni yanayotolewa na wasomaji si ya GLOBU YA JAMII, ni ya mtoa maoni isipokuwa pale itavyoelezwa vinginevyo. Akhsanteni sana na tuendeleze Libeneke.

Gadget

This content isn't available over encrypted connections yet.

KENYA YAKABIDHI MSAADA WA MABLANKETI 400 KWA WAATHIRIWA NA TETEMEKO LA ARDHI MKOANI KAGERA

 Balozi wa Kenya nchini Tazania Chirau Ally Mwakwere aliyemuwakilisha Rais wa Kenya Uhuru Kenyatta  akikabidhi msaada wa mablanketi 400 kwa Mkuu wa Mkoa wa Kagera Meja Jenerali mstaafu Salumu Kijuu kutoka Serikali ya Kenya kwa ajili ya waathirika wa tetemeko la ardhi mkoani   Kagera                        
 Balozi wa Kenya akikabidhi magodoro 100 kwa Mkuu wa Mkoa wa Kagera kwaajili ya wahanga wa tetemeko Kagera. 
 Askari wa Kenya wakishusha msaada wa magodoro kwenye ofisi za Mkuu wa Mkoa wa Kagera.PICHA NA  EDITHA KARLO GLOBU YA JAMII BUKOBA