Naibu Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe. Anastazia Wambura (pichani kushoto mstari wa mbele) akicheza muziki wa Kwaito na Wachezaji walioshiriki mashindano ya klabu bingwa Tanzania ( ligi daraja la kwanza netball) yaliyofanyika katika uwanja wa Jamhuri Mkoani Morogoro. Mashindano hayo yamemalizika leo kwa timu ya  uhamiaji kuibuka washindi kwa kuifunga Polisi magoli 44 kwa 40.Picha kwa hisani ya Anna Nkinda.

Mashindano ya klabu bingwa Tanzania ( ligi daraja la kwanza netball) yamemalizika mshindi wa kwanza uhamiaji ambaye ameshinda dhidi ya polisi kwa magoli 44 kwa 40

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...