THIS BLOG IS PROUDLY SPONSORED BY VODACOM, TANZANIA'S LEADING CELLULAR NETWORK. | CRDB BANK - THE BANK THAT LISTENS | NATIONAL BANK OF COMMERCE (NBC)- CONVENIENTLY EVERYWHERE | NATIONAL SOCIAL SECURITY FUND (NSSF) | PUBLIC SERVISE PENSIONS FUND (PSPF). ' Karibu katika hii Globu ya jamii. Una karibishwa kutoa maoni yako yoyote yatakayo jenga taifa letu. Nawasihi kila mmoja wetu ajiheshimu kwa kutumia lugha zisizochafua hali ya hewa. Yaliyomo humu hayahusiani kwa vyovyote vile na hariri za magazeti ya Daily News, HabariLeo na Sunday News. Maoni yanayotolewa na wasomaji si ya GLOBU YA JAMII, ni ya mtoa maoni isipokuwa pale itavyoelezwa vinginevyo. Akhsanteni sana na tuendeleze Libeneke.

Gadget

This content isn't available over encrypted connections yet.

MASWALI NA MAJIBU KWA WAZIRI MKUU BUNGENI MJINI DODOMA LEO SEPTEMBA 8, 2016


Hoja moja imeshachangiwa mpaka sasa.

  1. Simba Dume Anasema:

    Nasikitika kuona watu kama Lema wakipewa nafasi ya kuongea na taifa kuhusu masuala muhimu kama utungaji wa sheria. Kwa kifupi ni kuwa huyu hakustahili kuwa mbunge. Uwezo wake wa kutafakari mambo mzito ni mdogo sana, ukiachia mbali kiwango kidogo cha usikivu anachoonyesha. Ni dhahiri hajui kuwa mswada huo wa sheria tayari umepitishwa katika majopo kadhaa ya wadau wa sekta ya habari na kutoa maoni yao. Hoja kuu ni taarifa za ukweli na uhakika kama component muhimu katika upashanaji habari. Lema anang'ang'ania kuwa mswada huo utazuia uandishi wa "makala" na kufumba midomo ya waandishi. Swali ni je waandishi hutumia aina gani vyanzo gani kupata vya kuandikia makal zao? Je ni uzushi au taarifa na matukio ya kweli? Hapo ndipo watu wa aina ya Lema wanapochemka. Hakuna sehemu yeyote duniani ambapo sekta ya habari imeruhusu makala ziandikwe kwa speculations za wahariri au uzushi wa waandishi. Kuna baadhi ya nchi sheria zinataka wazushi na waongo katika sekta ya habari wafungiwe maisha na hata kunyongwa kulingana na aina ya uzushi waliofanya na hatari wanazoweza kusababisha. Ankal michuzi, wewe pia ni mwandishi tena katika picha, wajua ni jinsi gani yakatazwa kuedit picha ili uipost kukidhi mahitaji yako. Facts na ethics katika uandishi ndio msingi...ignorants wa media laws kama kina Lema hawalitambui hilo...