Huko Ujerumani, hususan katika makao ya Kiongozi mkuu wa Ngoma Africa band nyumbani kwa Kamanda Ras Makunja hali imekuwa si shwari baada ya mbwa aina ya Bulldog mwenye jina la sajent Domo Baya (juu) mlinzi namba moja wa Ras Makunja ametioweka lindoni kwa muda wa siku tatu sasa na kikosi cha kuangalia wanyama cha mji wa Oldenburg kinamtafuta mbwa huyo mwenye umri wa miaka 14 ambaye mara nyingi ni mwenye vituko pale anapochoka kulinda.
Mmiliki wa mbwa huyo kamanda Ras Makunja amekaririwa akimlalamikia mlinzi wake huyo kwa kudai kuwa "kama kachoka kazi atamfuta" Mwanamuziki huyo anamlalamikia Domo Baya kwa visa na kwamba siku hizi ana tabia za uzembe sana .
"Kishanigombanisha na jirani baada ya kuvamia swimming pool yao bila idhini ya wenyewe", anasema Kamanda Ras Makunja wa Ngoma Africa band aka FFU-Ughaibuni. Lakini wakati msako ukiendelea hebu sikiliza kazi zao at www.ngoma-africa.com
"Kishanigombanisha na jirani baada ya kuvamia swimming pool yao bila idhini ya wenyewe", anasema Kamanda Ras Makunja wa Ngoma Africa band aka FFU-Ughaibuni. Lakini wakati msako ukiendelea hebu sikiliza kazi zao at www.ngoma-africa.com
Kiongozi mkuu wa Ngoma Africa band Ras Makunja
Kamanada mlinzi kisha kuwa mzee sasa wakabidhi wanakutunziwa wanyama,enzi alikuwa tishio sasa mzee
ReplyDeletekamanda huyo mlinzi wako kishachoka kazi kwa umtimui utafute mwingine weh mlinzi gani hana nidhamu kazini
ReplyDeleteDUH KWELI KAMANDA HATAKI MCHEZO MLINZI SURA IMEKASILIKA NAMNA HII
ReplyDeletekudadeki hii bulldog ikikuvamia maisha kwishneyi eh!
ReplyDeleteSi Mchezo mbwa katoweka kwa mkuu wa Ngoma Afrika aka pia watoto wa mbwa
ReplyDeleteJibwa limeshakuwa zee hilo kamanda tafuteni mlinzi mwingine
Kamanda hili dubwana jibwa si dudu zuri kuwa nalo home ni hatari kwa wageni
ReplyDelete