Tunapenda kukujulisha mnada wa Magari pamoja na Furniture mbalimbali za ofisi na majumbani, mali kutoka Ubalozi wa Canada, Sweden na Finland.Mnada utafanyika Jumamosi ya wiki hii tarehe 03.09.2016 kuanzia saa 4 asubuhi.
Mahali: Golden Resort, Lion Street, Sinza
( Nyuma ya Lion Hotel) jijini Dar es salaam
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...