Daniel Manota ni mhitimu wa mafunzo ya ualimu Ilonga Tc mwaka 2015. Anasumbuliwa na maradhi ya FIGO tangu mwezi wa 10/2015, kwa sasa yuko Muhimbili hospitali. Hali  yake inazidi kuwa mbaya kwa kukosa pesa za kununua dawa, hivyo kama ndugu, jamaa na rafiki unaombwa kumchangia ili aweze kununua dawa zake zinazogharimu kiasi cha sh.milion 1 kwa wiki.
 Tunaomba tumuunge mkono kijana mwenzetu ambaye anapata maumivu makali. 
MUNGU HUMBARIKI ATOAYE KWA MOYO WA UKUNJUFU.
Tuma mchango kupitia namba hii, tuunganishe nguvu zetu kwa lengo la kuokoa maisha yake.
hii.
0659656970. NEEMA URASA
0768188741 .DANIEL MANOTA.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 1 mpaka sasa

  1. Namba ya Daniel haijakamilika, ina tarakimu 9 badala ya 10 tafadhali rekebisha niweze kutuma mchango kidogo

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...