THIS BLOG IS PROUDLY SPONSORED BY VODACOM, TANZANIA'S LEADING CELLULAR NETWORK. | CRDB BANK - THE BANK THAT LISTENS | NATIONAL BANK OF COMMERCE (NBC)- CONVENIENTLY EVERYWHERE | NATIONAL SOCIAL SECURITY FUND (NSSF) | PUBLIC SERVISE PENSIONS FUND (PSPF). ' Karibu katika hii Globu ya jamii. Una karibishwa kutoa maoni yako yoyote yatakayo jenga taifa letu. Nawasihi kila mmoja wetu ajiheshimu kwa kutumia lugha zisizochafua hali ya hewa. Yaliyomo humu hayahusiani kwa vyovyote vile na hariri za magazeti ya Daily News, HabariLeo na Sunday News. Maoni yanayotolewa na wasomaji si ya GLOBU YA JAMII, ni ya mtoa maoni isipokuwa pale itavyoelezwa vinginevyo. Akhsanteni sana na tuendeleze Libeneke.

Gadget

This content isn't available over encrypted connections yet.

MSIKITI MABULUU, ZANZIBAR

 Msikiti Mabuluu mjini Unguja unavyoonekana kwa jicho la ndege
Msikiti Mabuluu mjini Unguja unavyoonekana unavyonogesha mandhari ya Unguja. Andiko la awali BOFYA HAPAHoja moja imeshachangiwa mpaka sasa.

  1. HK Anasema:

    Masha Allah! Japokuwa huu Mskiti MABULUU umejengwa miaka ya karibuni na Dr. Salmini Amour Juma 1996 (kama nilivyopitia maoni upande wa pili) ambaye ndiye aliyekuwa Raisi Mstaafu wa Zanzibar, lakini pia kwa mujibu wa khadithi za wazee wetu, inasemekana hapo mwanzo tayari kulikuwepo na Mskiti Mdogo sana katika maeneo hayo hayo, lakini naskia ukavunjwa mskiti huo na badala yake pembezoni ndio ikajengwa ile Hoteli ya Bwawani na ndoto za Mskiti uliovunjwa zikawa zimeishia na badala yake pakawa panajaa maji tu na kuota yale majani maarufu kama 'Makuruwili' kwa wenyeji wa Dodoma wanayajuwa. Then katika utawala wa 'Comandoo' Dr. Salmin Amour Juma ndio alipoamuwa kuujenga tena mskiti huo kama vile ulivyokuwa miaka hiyo ya mwanzo katika location za maeneo hayo hayo ya hapo ila ndio akaujenga katika kiwango bora na cha kisasa Mwenyeez Mungu amjaze Kheri. Lakini sio kuwa Mskiti huo ni wa miaka hii ya karibuni tu, la khasha! ulikuwepo tangu enzi za utawala wa Marehem Abeid Aman Karume Mola amlaze pema - Amen.