THIS BLOG IS PROUDLY SPONSORED BY VODACOM, TANZANIA'S LEADING CELLULAR NETWORK. | CRDB BANK - THE BANK THAT LISTENS | NATIONAL BANK OF COMMERCE (NBC)- CONVENIENTLY EVERYWHERE | NATIONAL SOCIAL SECURITY FUND (NSSF) | PUBLIC SERVISE PENSIONS FUND (PSPF). ' Karibu katika hii Globu ya jamii. Una karibishwa kutoa maoni yako yoyote yatakayo jenga taifa letu. Nawasihi kila mmoja wetu ajiheshimu kwa kutumia lugha zisizochafua hali ya hewa. Yaliyomo humu hayahusiani kwa vyovyote vile na hariri za magazeti ya Daily News, HabariLeo na Sunday News. Maoni yanayotolewa na wasomaji si ya GLOBU YA JAMII, ni ya mtoa maoni isipokuwa pale itavyoelezwa vinginevyo. Akhsanteni sana na tuendeleze Libeneke.

Gadget

This content isn't available over encrypted connections yet.

MWENGE WA UHURU WAPITA KATIKA MIRADI 9 WILAYANI IKUNGI

Kushoto ni Mkuu wa Wilaya ya Manyoni Mhe Geofrey Mwambe akimkabidhi Mwenge wa uhuru  mkuu wa Wilaya ya Ikungi Mhe Miraji Jumanne Mtaturu (Kulia).
Kiongozi wa mbio za Mwenge wa uhuru kitaifa George Jackson Mbijima akiwasaidida kina mama kuwatwisha Ndoo kichwani mara baada ya kutembelea Mradi wa Maji wa Rafiki katika kijiji cha Muungano Kata ya Unyahati
Kiongozi wa mbio za Mwenge wa uhuru kitaifa George Jackson Mbijima akisisitiza jambo wakati akizungumza na wananchi waliojitokeza kuulaki Mwenge wa Uhuru katika viwanja vya stendi-Ikungi.