Mkuu wa Kikosi cha Usalama Barabarani Nchini, Naibu Kamishna wa Polisi Mohamedi Mpinga wa pili kulia, akimsikiliza ZTO kanda maalum ya Dar Es Salaam ACP Awadhi J. Haji aliesimama akizungumza katika kikao cha utendaji kazi kilichowahusisha ZTO nchi nzima, kikao kilichofanyika katika ukumbi wa Alphendo Mkoani Geita kabla ya kuendelea na shughuli za uelimishaji juu ya Usalaam Barabarani wiki ambayo kitaifa inaadhimishwa Mkoani Humo.

(Picha na Trafiki kuu)
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...