THIS BLOG IS PROUDLY SPONSORED BY VODACOM, TANZANIA'S LEADING CELLULAR NETWORK. | CRDB BANK - THE BANK THAT LISTENS | NATIONAL BANK OF COMMERCE (NBC)- CONVENIENTLY EVERYWHERE | NATIONAL SOCIAL SECURITY FUND (NSSF) | PUBLIC SERVISE PENSIONS FUND (PSPF). ' Karibu katika hii Globu ya jamii. Una karibishwa kutoa maoni yako yoyote yatakayo jenga taifa letu. Nawasihi kila mmoja wetu ajiheshimu kwa kutumia lugha zisizochafua hali ya hewa. Yaliyomo humu hayahusiani kwa vyovyote vile na hariri za magazeti ya Daily News, HabariLeo na Sunday News. Maoni yanayotolewa na wasomaji si ya GLOBU YA JAMII, ni ya mtoa maoni isipokuwa pale itavyoelezwa vinginevyo. Akhsanteni sana na tuendeleze Libeneke.

Gadget

This content isn't available over encrypted connections yet.

NEWZ ALERT:RAIS DKT MAGUFULI AHAIRISHA ZIARA YAKE YA ZAMBIA.

Rais wa Jamhuri ya Muungano Mheshimiwa DKT.John Pombe Magufuli ameahirisha ziara yake nchini Zambia ili ashughulikie tatizo la tetemeko la ardhi lililosababisha vifo vya watu 16,mamia kujeruhiwa na nyumba kadhaa kubomolewa mkoani Kagera.


Hoja moja imeshachangiwa mpaka sasa.

  1. Anonymous Anasema:

    MKUU WA NCHI HAKUNA MTU YOYOTE MWENYE AKILI UWEZI KUACHA NYUMBA YAKE INAHANGUKA NA KWENDA KUJENGA YA JIRANI YAKE, ULIVYO FANYA NI SAWA. VILE VILE KWA MUDA HUU TUMIKIA WATU WAKO SANA KWANI MUDA HAUJAWAHI KUWA RAFIKI WA MWANADAMU.
    DR, JAMESY