Kiungo mshambuliaji wa Manchester United Pogba akishukuru Mungu kwa kuweza kuapa bao lake la kwanza na la nne kwa timu yake ilipocheza na kuibanjua Leicester City ambao ni mabingwa watetezi bao 4-1 nyumbani kwao Old Trafford.
Kiungo mshambuliaji wa Manchester United Pogba akiogelea ndani ya dimbwi la furaha la mashabiki wa Man United.
Dah bora jamaa kafunga alirudi kuaga italy
ReplyDelete