THIS BLOG IS PROUDLY SPONSORED BY VODACOM, TANZANIA'S LEADING CELLULAR NETWORK. | CRDB BANK - THE BANK THAT LISTENS | NATIONAL BANK OF COMMERCE (NBC)- CONVENIENTLY EVERYWHERE | NATIONAL SOCIAL SECURITY FUND (NSSF) | PUBLIC SERVISE PENSIONS FUND (PSPF). ' Karibu katika hii Globu ya jamii. Una karibishwa kutoa maoni yako yoyote yatakayo jenga taifa letu. Nawasihi kila mmoja wetu ajiheshimu kwa kutumia lugha zisizochafua hali ya hewa. Yaliyomo humu hayahusiani kwa vyovyote vile na hariri za magazeti ya Daily News, HabariLeo na Sunday News. Maoni yanayotolewa na wasomaji si ya GLOBU YA JAMII, ni ya mtoa maoni isipokuwa pale itavyoelezwa vinginevyo. Akhsanteni sana na tuendeleze Libeneke.

Gadget

This content isn't available over encrypted connections yet.

RAIS DKT MAGUFULI ALIPOONGEA NA WAKAAZI WA MAGOMENI KOTA


Hoja moja imeshachangiwa mpaka sasa.

  1. mja mjoli. Anasema:

    Mimi hufurahi kuona tunadumisha lugha yetu kwa kuongea na kuandika Kiswahili kwa ufasaha. Hivyo basi, huwajibika kurekebisha makosa ninayoyaona mara kwa mara. Maana bila hivyo lugha yetu tukufu ya Kiswahili itapotoshwa na cha kutisha ni kuwa watoto wetu hawatakua na lugha fasaha ya kurithi.
    Mfano hapo juu kwenye kichwa cha habari muandishi amekosea kwa kuandika "wakaazi" badala ya neno "wakazi".
    Tudumishe na kutunza lugha yetu :)