Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt.
John Pombe Magufuli akifurahia jambo na Spika
Mstaafu wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samuel Sitta mara baada ya
kumjulia hali jijini Dar es Salaam
Spika Mstaafu wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Samuel Sitta akiongoza Sala mara baada ya kujuliwa hali na Rais Dkt.
John Pombe Magufuli. Kushoto ni Mke wa Mzee Sitta, Mama Margaret Sitta.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli ambaye pia ni
Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi CCM, Dkt. John Pombe Magufuli akisisitiza
jambo wakati akizungumza na Wafanyakazi hao wa Magazeti ya Uhuru na Mzalendo
mara baada ya kufanya ziara ya kushtukiza.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt.
John Pombe Magufuli ambaye pia ni Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi CCM, Dkt.
John Pombe Magufuli akiwa pamoja na Katibu Mkuu wa CCM Abdulrahman Kinana
wakwaza (kulia) pamoja na Kaimu Mhariri Mtendaji wa Magazeti hayo Ramadhani
Mkoma wakwanza (kushoto) wakiomba dua mara baada ya kumaliza kuzungumza na
wafanyakazi hao jijini Dar es Salaam.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...