Rais Mstaafu wa Israeli wa tisa ,Shimon Peres enzi za uhai wake.


Rais Mstaafu wa Israeli wa tisa ,Shimon Peres amefariki dunia mapema hii leo.
Mwanae wa kiume Chemi, amethibitisha kuwa baba yake amefariki dunia kwa waandishi wa habari waliokusanyika katika hospitali  Tel Aviv alipokuwa akiuguzwa maradhi ya kiharusi.


Rais Mstaafu wa Israeli,Shimon Peres  alizaliwa katika kijiji cha Vishniewa, Poland mwaka 1923. Kujua zaidi bofya hapa.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...