Mwenyekiti wa Jumuya ya Afrika Mashariki Rais Dkt John Pombe Magufuli akitambulisha wasaidizi wake kwa Mgeni wake, Rais wa Uganda Mhe Yoweri Kaguta Museveni, alipowasili Ikulu Dar es salaam leo jioni Septemba 7, 2016  tayari kwa mkutano wa Viongozi wa jumuiya hiyo hapo kesho katika ukumbi wa mikutano wa Ikulu.
Mwenyekiti wa Jumuya ya Afrika Mashariki Rais Dkt John Pombe Magufuli akipeana mkono na Rais wa Uganda Mhe Yoweri Kaguta Museveni  alipowasili Ikulu Dar es salaam leo jioni Septemba 7, 2016 tayari kwa mkutano wa Viongozi wa jumuiya hiyo hapo kesho  katika ukumbi wa mikutano wa Ikulu.
Mwenyekiti wa Jumuya ya Afrika Mashariki Rais Dkt John Pombe Magufuli na Rais wa Uganda Mhe Yoweri Kaguta Museveni wakiwa na Waziri wa mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika mashariki, Kikanda na Kimataifa Dkt Augustine Mahiga (kulia) na Waziri wa Fedha na Mipango Dkt Plilip Mpango (kushoto) mara mgeni  huyo alipowasili Ikulu Dar es salaam leo, tayari kwa mkutano wa Viongozi wa jumuiya hiyo hapo kesho  katika ukumbi wa mikutano wa Ikulu.
Mwenyekiti wa Jumuya ya Afrika Mashariki Rais Dkt John Pombe Magufuli katika mazungumzo na Rais wa Uganda Mhe Yoweri Kaguta Museveni mgeni wake huyo alipowasili Ikulu Dar es salaam leo jioni  tayari kwa mkutano wa Viongozi wa jumuiya hiyo hapo kesho  katika ukumbi wa mikutano wa Ikulu.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...